Young Dee afunguka penzi la Ex wake Tunda na Meja Picha ya Young Dee kushoto, kulia ni Tunda na Meja Kunta Msanii Young Dee amenyoosha maelezo juu ya mahusiano ya mpenzi wake wa zamani Cappuccino Tunda na msanii wa singeli Meja Kunta kwa kusema anapenda kumuona akiwa na furaha. Read more about Young Dee afunguka penzi la Ex wake Tunda na Meja