"Wakulima msajiliwe ili mtambulike" - Mavunde Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde ameitaka Bodi ya Kahawa Tanzania kuweka mfumo madhubuti wa ufuatiliaji kwa wakulima wote wanaopewa miche bora ili iweze kuongeza tija na uzalishaji. Read more about "Wakulima msajiliwe ili mtambulike" - Mavunde