"Simba tukifungwa na Yanga Siimbi tena" - Tundaman
Msanii Tundaman akizungumza na EATV & EA Radio Digital
Msanii wa BongoFleva na shabiki wa Klabu ya Simba Tundaman amesema timu yake hiyo ikifungwa tena na Yanga ataacha kuimba nyimbo za kuisifia Simba kama anavyofanya kila mwanzo wa msimu mpya.