TEF wahimiza mabadiliko sheria ya habari
Jukwaa la wahariri Tanzania TEF limeipongeza serikali kwa mchakato wake wa mabadiliko ya sheria ya kulinda taarifa binafsi huku pia wakihimiza mabadiliko ya baadhi ya vipengele vinavyovibana vyombo vya habari.