"Kamati za ufundi zimetuua Yanga" - Foby 

Picha ya msanii Foby kulia kwenye kipindi cha Kipenga Xtra World Cup Kitaa

Msanii wa BongoFleva na shabiki wa Klabu ya Yanga amesema kamati za ufundi ndio zimewaangusha kupata ushindi kwenye mchezo wao wa 'Kariakoo Derby' dhidi ya Simba. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS