Waziri Bashungwa akabidhi zana za Kilimo JKT
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Innochent Bashungwa amekabidhi zana za kilimo zenye thamani ya shilingi bilioni 3.9 kwa JKT kwa ajili ya miradi ya kimkakati ya jeshi hilo ili kuongeza uzalishaji wa chakula nchini