Dc Ilala aonya wabadhilifu kwenye Miradi.
Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam limekemea vikali ubadhilifu wa vifaa vya Ujenzi kwenye miradi mbalimbali ya Jiji Hilo na kuziagiza kamati za ujenzi kufanya Udhibiti kikamilifu ili miradi hiyo ikamilike Kwa wakati na ubora uunaotakiwa