Changamoto za Biashara mtandaoni
Kulingana na utafiti uliofanywa na watafiti nguli nchini umebainisha kuwa zipo changamoto nyingi Kwa Watanzania ambao wameajiriwa kupitia biashara mtandao ambao wanazidi elfu kumi yaani (Digit economy) ikiwemo ufinyu wa malipo wanayopata, uhakika na usalama Huduma,pamoja na kukosekana Kwa