"Passport unaweza kupata ndani ya saa 24"-Uhamiaji
Msemaji wa Idara ya Uhamiaji nchini Paul Mselle, amesema kwamba endapo mtu atazingatia taratibu zote za uombaji wa hati ya kusafiria (Passport), anaweza kuipata ndani ya siku moja hadi siku saba za kazi.