Brazil kuwekeza kiwanda cha dawa nchini.
Serikali imepokea ujumbe wa wakekezaji kutoka nchini Brazil ambao ni wazalishaji wakubwa duniani katika sekta ya dawa kwenye sekta za afya,uvuvi na mifugo ujumbe ambao umewasili nchini ukiletwa na Balozi wa Tanzania nchini Brazil Adeladus Kilangi.