Wafugaji watakiwa kulima malisho ya mifugo yao
Serikali imewataka wafugaji wa asili nchini kuanza kulima malisho ya mifugo yao,ambayo yaliathiriwa na mabadiliko ya tabia nchi na kupelekea idadi kubwa ya mifugo kufa kutokana na kukosa malisho ili waweze waondokana na athari hizo kwa siku zijazo.