Bodi chini ya Jenerali Mstaafu Mabeyo yazinduliwa Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana, akipeana mkono na Mwenyekiti wa Bodi ya NCAA Jenerali Mstaafu Venance Mabeyo Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana, amezindua rasmi Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) jijini Arusha. Read more about Bodi chini ya Jenerali Mstaafu Mabeyo yazinduliwa