KMC FC yaifuata Namungo Ruangwa na wachezaji 20

Kikosi cha wachezaji 20 , Viongozi pamoja na Benchi la ufundi kimeondoka leo Jijini Dar es Salaam kuelekea Ruangwa mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC soka Tanzania Bara dhidi ya Namungo utakaochezwa siku ya Jumamosi Oktoba 1 katika uwanja wa Majaliwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS