Mlemavu wa macho amuua mama yake Njombe
Bibi mwenye umri wa miaka 87 anayefahamika kwa jina la Elina Nzilano mkazi wa mtaa wa Idofi halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe ameuawa na mwanae mwenye ulemavu wa macho (Kipofu) anayefahamika kwa jina Elisha Mwena (42) huku sababu ikitajwa kuwa ni kikongwe huyo kumnyima chakula