"Risasi haichagui pa kuingia" - SACP Misime
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini SACP David Misime, amewataka Watanzania kurudi kwenye misingi ya imani za dini na kuachana na uhalifu hatua ambayo itaepusha matukio ya washukiwa wa uhalifu kupigwa risasi.