Nay wa mitego akanusha kulipwa milioni 100 na CCM

Rapper Nay wa mitego amekanusha taarifa za  kulipwa na chama fulani cha siasa kwa lengo la kuhamia katika chama hicho ambapo taarifa za awali zilisema kuwa msanii huyo amelipwa milioni 100 ili ahamie chama hicho cha siasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS