Zumaridi na wenzake wakutwa na kesi ya kujibu Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Mwanza imemkuta na kesi ya kujibu Diana Bundala maarufu kama mfalme Zumaridi na wafuasi wake nane na kuwataka mawakili wanaowatetea kujiandaa kutoa ushahidi dhidi yao Read more about Zumaridi na wenzake wakutwa na kesi ya kujibu