Mtalii auawa Afrika Kusini Polisi nchini Afrika Kusini wanachunguza mauaji ya mtalii mmoja raia wa Ujerumani ambaye amepoteza maisha katika jaribio la kuteka gari lililotokea mashariki mwa jimbo la Mpumalanga. Read more about Mtalii auawa Afrika Kusini