Wazazi wadai kutishwa na mtoto wao kisa mali

Mzee John Sanga (81) mkazi wa Mtaa wa Power House mjini Njombe na Mkewe Mariam Sanga (62) wamesema maisha yao yako hatarini kutokana na vitisho wanavyopokea kutoka kwa mtoto wao ambaye anashinikiza familia hiyo kugawa mali anazodai zilichumwa na mama yake kabla hajatengana na baba yake

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS