26 wakamatwa kusaidia Israel Iran imeripoti kuwa watu wasiopungua 26 wamekamatwa katika mkoa wa Khuzestan, kusini magharibi mwa nchi, kwa madai ya kushirikiana na Israel, siku mbili baada ya Iran na Israel kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano. Read more about 26 wakamatwa kusaidia Israel