Idadi ya washtakiwa wa mauaji Loliondo yaongezeka
Idadi ya washtakiwa katika kesi namba 11 ya 2022 dhidi Jamhuri wanaodaiwa kufanya njama ya mauaji ya askari polisi katika pori tengefu la loliondo wilayani Ngorongoro imeongezeka kutoka washtakiwa 25 na kufikia washtakiwa 27