Waziri Mkuu wa zamani Japan apigwa risasi Shinzo Abe Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe yupo hospitali akipatiwa matibabu baada ya kupigwa risasi siku ya leo katika mji wa Nara huko Japan. Read more about Waziri Mkuu wa zamani Japan apigwa risasi