Fundisheni wanafunzi uzalendo - Kipanga
Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Omari Kipanga amewataka walimu waliopatiwa mafunzo na chama cha Scouts Tanzania kwenda kuyatumia mafunzo waliyoyapata kufundishia nyimbo za kizalendo ikiwemo wimbo wa Taifa na wa Afrika mashariki