Benki ya CRDB kutoa mafunzo ya biashara mtandaoni
Benki ya CRDB inatarajia kutoa mafunzo ya biashara mtandaoni kwa wafanyabiashara na wajasiriamali ambao wanafanya na wanaotaka kuanzisha biashara mtandaoni ambapo mafunzo hayo yatatolewa kupitia kampeni mpya iliyoanzishwa na benki hiyo ijulikanayo kama CRDB Instaprenyua.