Steve Nyerere M/Kiti harusi ya Billnass na Nandy

Picha ya Steve Nyerere kushoto, kulia ni Billnass na Nandy

Rapa Billnass na Nandy wametoa taarifa ya kumchagua msanii wa filamu Steve Nyerere kuwa Mwenyekiti wa kamati ya harusi yao ambayo inatarajiwa kufanyika mwezi huu wa saba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS