Bei ya mafuta Tanzania yapaa Kituo cha mafuta Bei ya mafuta kuanzia kesho Agosti 3, 2022, kwa mkoa wa Dar es Salaam, Petroli itauzwa shilingi 3,410, Dizeli 3,322 na mafuta ya taa yatauzwa kwa shilingi 3,765, Tanga Petroli itauzwa 3,435 na Dizeli itauzwa 3,349. Read more about Bei ya mafuta Tanzania yapaa