PNC Shino na Rayvanny kimeeleweka Picha ya msanii PNC Shino kushoto kulia ni Rayvanny CEO wa lebo ya Next Level Music Rayvanny amekubali kufanya kazi na PNC Shino baada ya PNC kuweka wazi kutamani kufanya naye kazi kupitia show ya Planet Bongo ya East Africa TV. Read more about PNC Shino na Rayvanny kimeeleweka