Tume ya uchaguzi Uganda yalaani vurugu
Tume ya Uchaguzi ya Uganda imelaani machafuko makali yaliyotokea wakati wa mkusanyiko wa kampeni ya mgombea urais Robert Kyagulanyi Ssentamu, anayejulikana kama Bobi Wine, katika mji wa Gulu kaskazini mwa nchi siku ya Jumamosi tarehe Desemba 6, 2025, na ikalielezea tukio hilo kama “la kusi

