Region: 
Shinyanga
District: 
Shinyanga District
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 100 mwaka mzima

Shule ya Sekondari Samuye inapatikana nje kidogo ya Mji wa Shinyanga. Zoezi la ugawaji wa taulo za kike katika shule hiyo liliongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Mhe. Jasinta Mboneko.

Kampeni ya Namthamini imefanikiwa kutoa taulo za kike kwa wanafunzi 100 kwa mwaka mzima katika shule hiyo.