Region: 
Mara
District: 
Musoma
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 400 kwa mwaka mzima

Wanafunzi wa shule ya msingi ya watoto wenye ulemavu Mwisenge iliyopo wilaya ya Musoma mkoani Mara ambao walipatiwa taulo za kikeĀ ambazo zitaweza kuwasadia wanafunzi 400 wa kike kwa mwaka mzima.

Wanafunzi wa Mwisenge baada ya kupokea taulo za kike

Wanafunzi wa Mwisenge wakipokea elimu kuhusiana na hedhi salama

Wanafunzi wa Mwisenge wakipokea elimu kuhusiana na hedhi salama

Balozi wa kampeni ya Namthamini, Justine Kessy akizungumza na wanafunzi wa Mwisenge.