Region: 
Simiyu
District: 
Maswa District
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 100 mwaka mzima

Kampeni ya Namthamini mefika katika Mkoa wa Simiyu kwenye wilaya ya Maswa, ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Maswa imefika Shule ya Sekondari ya Badi na kutoa taulo za kike kwa wanafunzi 100 kwa mwaka mzima.