Region: 
Njombe
District: 
Makete
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 66 kwa mwaka mzima.

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Iwawa walikabidhiwa taulo za kike pakiti 800 ambazo zinaweza kuwasaidia wanafunzi 66 kwa kipindi cha mwaka mzima.

Mtangazaji wa East Africa TV na Balozi wa Kampeni ya Namthamini, Najma Paul akitoa elimu ya hedhi salama kwa wanafunzi wa Iwawa.

Umati wa wanafunzi wa kiume na kike ulijitokeza katika uwanja wa shule ya Sekondari Iwawa kufuatilia kampeni ya Namthamini.

Wanafunzi wa Iwawa wakifurahi baada ya kukabidhiwa taulo za kike za kutumia mwaka mzima.

Tulivunja ukimya kwa wanafunzi wa kiume na kike na wote walishiriki katika kampeni hii.

Taulo za kike pakiti 800 zilikabidhiwa kwa wanafunzi wa shule ya Sekondari Iwawa.