Region: 
Njombe
District: 
Makete
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 55 kwa mwaka mzima.

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Kitulo iliyopo katika wilaya ya Makete, Njombe wamepatiwa taulo za kike pakiti 664 kupitia kampeni ya Namthamini.

Balozi wa kampeni ya Namthamini, Najma Paul akifurahi na wanafunzi wa Kitulo.

Wanafunzi wa Kitulo wakipatiwa taulo za kike.

Mwanafunzi wa Kitulo akichangian mada kuhusiana na elimu ya hedhi ya hedhi salama

Shule ya Kitulo ikikabidhiwa taulo za kike.