Region: 
Mara
District: 
Butiama
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 400 kwa mwaka mzima

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Kyanyari iliyopo Butiama, Mara wamepatiwa taulo za kike kupitia kampeni ya Namthamini ambazo zitaweza kuwasaidia wanafunzi wa kike 400 kwa mwaka mzima.

Balozi wa kampeni ya Namthamini, Justine Kessy akikabidhi taulo za kike kwa mwanafunzi wa shule ya Sekondari Kyanyari.

Wanafunzi wa Kyanyari baada ya kupokea taulo za kike.

Wanafunzi wa Kyanyari baada ya kupokea taulo za kike.

Mratibu wa kampeni ya Namthamini, Millicent Lema akizungumza na wanafunzi wa Kyanyari

Wanafunzi wa Kyanyari wakipokea taulo za kike.