Region: 
Mtwara
District: 
Masasi
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 88 kwa mwaka mzima

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Lukuledi walipatiwa taulo za kike pakiti 1056 ambazo zinaweza kuwasaidia wanafunzi 88 kwa mwaka mzima.

Wanafunzi wa Lukuledi wakifuatilia kampeni ya Namthamini.

Mwanafunzi wa Lukuledi akitunzwa baada ya kuimba wimbo wa kampeni ya Namthamini

Mtangazaji wa East Africa Radio, Justine Kessy akiongea na wanafunzi wa kiume wa Lukuledi kuhusiana na hedhi salama.

Wanafunzi wa Lukuledi wakipatiwa elimu ya hedhi salama.