Region: 
Ruvuma
District: 
Songea
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 80 kwa mwaka mzima

Wanafunzi wa Luwawasa wamekabidhiwa taulo za kike pakiti 960.

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Luwawasa

Wanafunzi wa Luwawasa wakipokea taulo za kike.

Shule ya Luwawasa ikipokea taulo za kike kutoka kwa Balozi wa Namthamini, Najma Paul.

Wanafunzi wa Luwawasa wakifurahi pamoja na timu ya Namthamini.