Region: 
Njombe
District: 
Njombe Mji
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 82 kwa mwaka mzima

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Mabatini walikabidhiwa taulo za kike pakiti 984.

Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mji, Kissa Gwakisa Kasongwa akifungua kampeni ya Namthamini katika shule ya Sekondari Mabatini.

Wanafunzi wa Mabatini wakikabidhiwa taulo za kike.

Wanafunzi wa Mabatini wakipatiwa taulo za kike.

Balozi wa Namthamini, Najma Paul akifurahi na wanafunzi wa Mabatini.