Region: 
Mtwara
District: 
Mtwara
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 40 kwa mwaka mzima

Shule ya Sekondari Mangamba ilipatiwa taulo za kike pakiti 484 ambazo zitaweza kuwasaidia wanafunzi 40 kwa mwaka mzima wakiwa shuleni.

Wanafunzi wa Mangamba wakifuatilia elimu ya hedhi salama wakiwa na taulo za kike mkononi walizokabidhiwa.

Elimu ya hedhi salama ilitolewa kwa wanafunzi wa kike na kiume kwa ajili ya kuvunja ukimya kwa wanafunzi wa kiume.

Mwamko ulikuwa mkubwa kwa wanafunzi wa kike na kiume kushiriki katika kampeni hii.