Region: 
Ruvuma
District: 
Nyasa
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 58 kwa mwaka mzima

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Manyanya iliyopo Wilaya ya Nyasa, Ruvuma wamekabidhiwa taulo za kile pakiti 697

Balozi wa Kampeni ya Namthamini, Najma Paul akifurahi na wanafunzi wa shule ya Sekondari Manyanya

Shule ya Sekondari Manyanya ni ya wanafunzi mchanganyiko wa kiume na kike.

Balozi wa Kampeni ya Namthamini na Mtangazaji wa East Africa TV, Najma Paul akizungumza na wanafunzi wa Manyanya.

Wanafunzi wa Sekondari ya Manyanya wakichangia mada kuhusiana na hedhi salama.

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Manyanya wakitoa pongezi kwa East Africa TV na East Africa Radio.