Region: 
Ruvuma
District: 
Songea
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 82 kwa mwaka mzima

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Mashujaa wamepokea taulo za kike pakiti 984

Mkuu wa Wilaya ya Songea, Mhe Pololet Mgema akigawa taulo za kike kwa wanafunzi wa Mashujaa.

Wanafunzi wa Mashujaa baada ya kupatiwa taulo za kike.

Picha ya pamoja baada ya kampeni ya Namthamini kuisha.

Mkuu wa Wilaya ya Songea, Mhe Pololet Mgema akizungumza na wanafunzi wa Mashujaa.