Region: 
Ruvuma
District: 
Mbinga
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 86 kwa mwaka mzima

Jumla ya pakiti 1032 za taulo za kike zimetolewa kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mbambi.

Mwanafunzi wa Mbambi akizungumzia umuhimu wa hedhi salama mashuleni.

Mwanafunzi wa Mbambi akikabidhiwa zawadi kutoka kwa Balozi wa kampeni ya Namthamini na mtangazaji wa EATV, Najma Paul.

Shangwe la wanafunzi wa Mbambi baada ya kukabidhiwa taulo za kike.

Wanafunzi wa Mbambi wakipokea taulo za kike katika kampeni ya Namthamini shuleni kwao.