Region: 
Njombe
District: 
Ludewa
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 64 kwa mwaka mzima.

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Mchuchuma wamekabidhiwa taulo za kike pakiti 774 kupitia kampeni ya Namthamini.

Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Mavala wakipokea taulo za kike.

Mwalimu wa Mavala akichangia mada kuhusiana na hedhi salama.

Mtangazaji wa East Africa TV, Najma Paul akitoa elimu ya hedhi salama kwa wanafunzi wa Mavala.