Region: 
Mtwara
District: 
Mtwara
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 36 kwa mwaka mzima

Shule ya Sekondari Mikindani ilipatiwa taulo za kike pakiti 431 ambazo zitaweza kuwasaidia wanafunzi 36 kwa mwaka mzima wakiwa shuleni.

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Mikindani wakipatiwa taulo za kike

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Mhe Dustan Komba (katikati), mtangazaji wa East Africa TV, Najma Paul (kulia) na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara, Mhe. Shadida Ndile (kushoto) wakishuhudia zoezi la ugawaji wa taulo za kike.

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Mikindani wakipatiwa elimu ya hedhi salama baada ya kupatiwa taulo za kike.

Mwanafunzi wa Mikindani akichangia mada kuhusiana na elimu ya hedhi salama.

Wanafunzi wa Mikindani wakifuatilia elimu ya hedhi salama.