Region: 
Mtwara
District: 
Mtwara
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 36 kwa mwaka mzima

Shule ya Sekondari Mikindani ilipatiwa taulo za kike pakiti 431 ambazo zitaweza kuwasaidia wanafunzi 36 kwa mwaka mzima wakiwa shuleni.

Mtangazaji wa East Africa TV, Najma Paul akifurahi na wanafunzi wa Mikindani na Mitengo.

Mwanafunzi wa Mitengo akitoa shukrani kwa East Africa TV na East Africa Radio kwa niaba ya wanafunzi wa Mitengo.

Wanafunzi wa Mitengo wakikabidhiwa taulo za kike.

Mtangazaji wa East Africa TV, Najma Paul katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Mikindani na Mitengo.

Wanafunzi wa Mikindani na Mitengo wakiwa na taulo za kike mkononi baada ya kukabidhiwa.