Region: 
Mtwara
District: 
Nanyumbu
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 84 kwa mwaka mzima.

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Nanyumbu walipatiwa taulo za kike pakiti 1008 ambazo zinaweza kuwasaidia wanafunzi 84 kwa mwaka mzima.

Wanafunzi wa Nanyumbu wakikabidhiwa taulo za kike.

Wanafunzi wa kiume na kike wa Nanyumbu wakifuatilia elimu ya hedhi salama.

Timu ya Namthamini ikiongea na wanafunzi wa Nanyumbu kuhusiana na hedhi salama.

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Mariam Chaurembo akiongea na wanafunzi wa Nanyumbu

Mtangazaji wa East Africa TV, Najma Paul akiongea na wanafunzi wa Nanyumbu.