Region: 
Mtwara
District: 
Nanyumbu
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 85 kwa mwaka mzima

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Napacho walikabidhiwa taulo za kike pakiti 1050 ambazo zinaweza kuwasaidia wanafunzi 85 kwa mwaka mzima.

Wanafunzi wa Napacho wakipokea tauo za kike.

Wanafunzi wa kiume wa Napacho walikuwepo kwa ajili ya kupata elimu ya hedhi salama.

Mtangaji wa East Africa Radio, Justine Kessy akifurahi na wanafunzi wa Napacho

Timu ya Namthamini ikigawa taulo za kike kwa wanafunzi wa Napacho