Region: 
Dar es salaam
District: 
Kinondoni
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 150 kwa mwaka mzima

Wanafunzi wa Twiga wakifurahi pamoja baada ya kupokea taulo za kike

Wanafunzi wa Twiga wakipokea taulo za kike.

Mratibu wa Kampeni ya Namthamini, Millicent Lema Lasway akiwasalimia wanafunzi wa Twiga.

Mratibu wa Kampeni ya Namthamini, Millicent Lasway akikabidhi boksi za taulo za kike kwa Mwalimu Mkuu wa Twiga.