Region: 
Mtwara
District: 
Masasi
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 84 kwa mwaka mzima.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chiungutwa iliyopo katika wilaya ya Masasi, Mtwara walikabadhiwa taulo za kike pakiti 1008 zitakazoweza kuwasaidia wanafunzi 84 kwa mwaka mzima.

Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Mhe Claudia Kitta akikabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa Chiungutwa.

Wanafunzi wa Chiungutwa wakifuatilia kampeni ya Namthamini.

Mtangazaji wa East Africa Radio, Justine Kessy akizungumza na wanafunzi wa Chiungutwa.

Meneja wa Benki ya NBC Wilaya ya Masasi, Erick Mbeyale akiongea na wanafunzi wa Chiungutwa.