Region: 
Mtwara
District: 
Masasi
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 82 kwa mwaka mzima

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Masasi walikabidhiwa taulo za kike pakiti 984 ambazo zitaweza kuwaweka shuleni wanafunzi 82 kwa mwaka mzima.

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Masasi wakikabidhiwa taulo za kike na Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Mhe Claudia Kitta.

Mtangazaji wa East Africa Radio, Justine Kessy akizungumza na wanafunzi wa masasi kuhusiana na hedhi salama.

Mtangazaji wa East Africa TV, Najma Paul akishangilia na wanafunzi wa Masasi baada ya kumaliza kugawa taulo za kike.

Wanafunzi wa Masasi wakiwa na taulo za kike mkononi baada ya kukabidhiwa na timu ya Namthamini.