Region: 
Njombe
District: 
Ludewa
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 73 kwa mwaka mzima

 

Jumla ya taulo za kike pakiti 884 zimetolewa kwa wanafunzi wa Mavala.

Balozi wa kampeni ya Namthamini na mtangazaji wa East Africa TV, Najma Paul akiwa na wanafunzi wa Mavala

Shule ya Sekondari Mavala ikikabidhiwa taulo za kike kwa wanafunzi.

Picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kampeni ya Namthamini

Wanafunzi wa Mavala na balozi wa Namthamini, Najma Paul.